Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


  • FC Midtjylland - FC NordsjaellandDraw No Bet - FT (1)1.24
  • IFK Norrkoping - Ostersunds FKDouble Chance - FT (12)1.16
  • Jiangsu Suning FC - Beijing Guoan1X2 and Totals - FT (1.5) (2 - Over)1.66
  • Legia Warsaw - MKS Pogon SzczecinTotal Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.26
  • Malmo FF - Sirius1X2 and Totals - FT (1.5) (1 - Over)1.47
  • Young Boys - Servette1X2 and Totals - FT (1.5) (1 - Over)1.45
  • Shandong Luneng - Shenzhen FC1X2 and Totals - FT (1.5) (1 - Over)1.53
  • FK Indjija - Partizan BelgradeTotal Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.24
  • PFC Sochi - Zenit St PetersburgTotal Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.28
  • Hebei CFFC - Tianjin TianhaiTotal Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.16
 
Molde FK - Sarpsborg 08 FF
Football / Norway Eliteserien
1X2 - FT (1)
1.53

IK Start - Ham-Kam
Football / Norway 1. Division
1X2 - FT (1)
1.74

Shandong Luneng - Shenzhen FC
Football / China Super League
Total Score Over/Under - FT (2.5) (Over)
1.54
=========
Odds 4.01
 
Total 3+ goals meridianbet ina maana kuanzia goals 3 na kuendelea so matokeo yakiwa magoli 3 ina maanisha ume WIN bet
Hivi kwenye Meridian uki chagua total goal 3+ , na matokeo ikawa magoli 3

Inakuaje?
 
wazee msimu wa league kuanza bado kidogo kwahiyo tujadiliane another way how to deposite and withdraw money from 1xbet ukiachana na safaricom which way ya kufanya malipo 1XBET
 
wazee msimu wa league kuanza bado kidogo kwahiyo tujadiliane another way how to deposite and withdraw money from 1xbet ukiachana na safaricom which way ya kufanya malipo 1XBET
Mbona unahsngaika na kuchomekea viingereza wkt inaweza kuandika kiswahili na ukaeleweka
 
wazee msimu wa league kuanza bado kidogo kwahiyo tujadiliane another way how to deposite and withdraw money from 1xbet ukiachana na safaricom which way ya kufanya malipo 1XBET
Njia zipo nyingi ila ni gharama na kutoa wanaanzia dau kubwa tofauti na safaricom, mm naona suruhu n kuwa na safaricom, au basi kusubir hadi kieleweke kwa tz yetu,
 
Kuna jamaa aliniuzia lain ya safaricom, yupo vizuri na watu wengi wanatumia kwa sasa, haijanisumbua mana jamaa anakuunganishia kalibu vitu vyote, ww unabaki na akaunti yako
 
Malmo, Shanghai SIPG na Beijing guoan mnachokifanya ni hujuma kwa mikeka yangu
 
1xbet haina longolongo ktk kutoa hata ukiwa na laini ya safaricom utatoa tu maana ukiwa na laini safaricom kiasi cha chini kutoa/kuweka ni 157.25 KES. Mtafute jamaa anaitwa Eto'o utapata hiyo laini fasta kama huko Dar
 
Basi mkuu, nilichotaka ni kujua tu kama benki zetu za tz zinapokea hiyo mipunga!! Nami nianze huko, huku safaricom sina uhakika nako saana! Unaweza piga mpunga mkaanza kusumbuana kudaiana vitambulisho.
Mpunga mrefu na kitambulisho ni mtihani siku ikitokea umepiga parefu
Ila kama una bet ndogo ndogo haina shida

1bet ukiwapiga parefu au ukipata bonus ndefu lazma wakuzingue Id
Na ukidunduliza hela ikawa nyingi na ukataka kuitoa kwa mkupuo lazima Id itahausika

Dawa ni kutoa kidogo kidogo kila ukiwin

Ndio maana mi nimekomaa na Bitcoin
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…