Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hali ya jana. 😡
 

Attachments

  • 1442559013447.jpg
    12.7 KB · Views: 132
Raimundo cute b
Jamani jamani Chelsea nilimpa win na Over 2.5 sema kuna mjinga mmmoja anaitwa Arsenal majangaaaaaa ila am good....
Wiki hii narusha tena kete ya mwisho ambayo lazima itoke na kitu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kuliwa itakuwa kila siku unless tuchange game plan option ya over na gg kwa sasa ndo nzuri zaidi unaweka timu zako 2 ukiweka 50 hukosi 150 kuliko kuweka mitimu 10 utegemee mil
 
Jamani naomba kujuzwa kulikuwa na option ya red card..yellow na penalty bt kwasasa cjaiona...imetolewa au ndo wataiweka kesho
 
Wakuu kuliwa itakuwa kila siku unless tuchange game plan option ya over na gg kwa sasa ndo nzuri zaidi unaweka timu zako 2 ukiweka 50 hukosi 150 kuliko kuweka mitimu 10 utegemee mil

hiyo kweli mkuu maana wanacheza na akili zetu. amini game zako mbili weka mpunga. ukiweka 50 ukapata 150 kuna hasara gani? tubadilike wazee tuifanye Kazi na sio mchezo
 
wadau kuna kitu naomba Nielekezwe. jamaa wa mbet wanapromote wallet betting. kuna kama 30M wanatoa.

swali langu ni unatakiwa kupatia game zote 12 za kwanza? maana kuna kitu wameandika

fixtures for possible cancellations
napo wameweka game 5. maana Mimi nilivyoelewa ni kwamba endapo kuna game itaahirishwa kati ya 12 za mwanzo ndipo wataongeza moja kati ya zile tano
 


Upo sawa na unatakiwa ushindi game zote 12 Ila watalipa chochote kutegemea na idadi ya mliopatia Ila game win zisiwe chini ya tisa
 
kupitia m-bet nimetabiri mechi hizi IPSWICH VS BIRMINGHAM,NK OSIJEK VS NK ZAGREB timu nilizozipa ushindi ni IPSWICH na NK OSIJEK
 
Wakuu kuliwa itakuwa kila siku unless tuchange game plan option ya over na gg kwa sasa ndo nzuri zaidi unaweka timu zako 2 ukiweka 50 hukosi 150 kuliko kuweka mitimu 10 utegemee mil

hii ya bia kesho mapemaa wale wa mbet GG

IPSWICH TOWN

SPORTING KANSAS

WEKA 100k uamke na 245k
 
Odds 4.8 magoli ndani ya dkika 27 za kwanza

------------------------------------------
[3/3]
0185 18-09 19:30:00 Liefering-Austria Klag
First Goal time 0-27 1.63
0243 18-09 19:30:00 FAC Wien-LASK Linz
First Goal time 0-27 1.64
0323 18-09 19:30:00 A. Salzburg-St. Polten
First Goal time 0-27 1.82
------------------------------------------
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…