Write your reply...wakuu naomba kuuliza kampuni nzuri ya kubet online hasa mchezo w mpira ni ipi natak ningie ulingo w betting?
UtaonaLiva leo atasepa na pesa za watu
BOOOOOOOOOOOM KALIPE SUPUSlovenia
*Bled Vs Celje*
*3.39 odds*
GG & OV 2.5
KALESUPU SUBIRIA HELAA
Nyie mnaosema Chelsea leo anashinda iko wapi mikeka ya direct win?
Labda ashindr jackpotNyie mnaosema Chelsea leo anashinda iko wapi mikeka ya direct win?
Hawa wanatuma haraka sana, hazizidi dk 5.Hivi Parimatch inachukua muda gani ukiwithdraw peas? ... kuna mwenye mawasiliano yao zaidi ya email?
Natanguliza shukran !
Kwa kweli.Labda ashindr jackpot
Hii mechi ni moja wapo ya mechi chache duniani zenye kuwa na uhakika.Sioni Chelsea anashindaje hii game. Labda km Liverpool hawana interest na hili kombe. Ukinzingatia Chelsea wanamkosa kiungo wao tegemezi Ng'olo Kante
Hahahaa, ikitokea Chelsea akashinda leo mbele ya Liverpool yenye kikosi matata ulimwengu basi litakuwa ni tukio la aina yake kwa club ya Chelsea msimu huu. Yaani itakuwa walituadaa sisi mashabiki ili tuelewe ni wabovu kumbe walikuwa wanatusomea upepo tu.