Tunajua ushabiki ndo tatizo.Liverpool hatashinda leo
Haya maswali kilasiku yabaulizwa na majibu yanatolewa..Write your reply...wakuu naomba kuuliza kampuni nzuri ya kubet online hasa mchezo w mpira ni ipi natak ningie ulingo w betting?
Ipo play store?Betswall
Mkuu sioni tip zakoWatu ni kama hatujifunzi kabisa humu ndani
Kila msimu kilio huwa ni direct win, na kilio kinaendelea hivi hivi hadi msimu utaisha
Inaoneka ni kama mtu ukiona tu jina kubwa la timu basi ni kuipa direct win au double chance
Jaribu kutafiti wadau wanao aminika kwa kutoa tips hapa jukwaani wanatumia zaidi options zipi? Na mara nyingi zina kuwa na mafanikio
Liva leo atasepa na pesa za watu
Utapigwa za uso bro! Nakushauri, ni bora utafute OVERNataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000. Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .
Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .
Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Kuna SARE pia, si lazima afungweKama unaamini hivyo weka Laki mpe chelsea!!ana odds 6!!
Ndo walewale wa Uefa;Liver vs spurs ooh spurs anashinda sjui nini akala Kepu
Hawa wanatuma haraka sana, hazizidi dk 5.
Aweke msisitizo zaid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unaamini hivyo weka Laki mpe chelsea!!ana odds 6!!
Ndo walewale wa Uefa;Liver vs spurs ooh spurs anashinda sjui nini akala Kepu
Nipo mkuu nafukizana na bookies kimya kimyaMkuu sioni tip zako
Umepumzika kubet?