Home win&ov1.5/2.5Wakuu ushauri wenu
Tanzania vs Burundi- home team over 1.5 ft odd 2.50
Kuna mabaharia fulani wako 10,Hivi imeshawahi kukutokea kila ukibeti unaliwa mpaka unahisi umerogwa au umelaaniwa?? Daah mm kuna kipindi ilinitokea mpaka ikabidi nistop kwa miezi miwili 😁😁😁
Skrill wanakera kwann hawataki mastercard?
Licha ya hiyo njia, kuna ipi nyingine yenye uhuru zaidi...mpk visa card?Ukiweka pesa kwa master card ita ingia ila hautoweza kuitumia kwenye betting mpaka iwe returned yaani umtumie mtu skrill halafu akurudishie
Bro Vipi?Aisee...Tokyo Verdy
Kwahyo nifute hii?Muwemakini na Italy leo
HapanaamkuunitahadhariituuKwahyo nifute hii?View attachment 1201471
KAMA KUNA MTU ANA APP YA BET PAWA ANISAIDIE
First quarter ya angola imeisha iviPenye udhia, penyeza rupia.View attachment 1201325
Ushauri wangu tumuue Tanzania
Burundi anashinda ana forward Kali ambazo zitatuua mapema tuu ,wachezaji wetu bado hawaelewana
Kuna mabaharia fulani wako 10,
Wametengeneza group lao wakachanga 20,000/= each total capital 200,000/=. Anzia asubuhi had saa tano ni kuchambua tu timu kisha saa tano wanakua washakubaliana odds 2+ za siku hiyo wanatupia nusu ya mtaji.
Formula ni moja tu, stake wanaweka nusu ya kilichopo. Juzi mmoja wao kanitumia screenshot wako na 5mil +, kugawana Mpaka mwisho wa mwezi. Wakibet kwa wale wenye kuruhusu stake ndogo basi wanabet mkeka zaid ya mmoja.
Kikubwa kinachowabeba ni 1) Commitment & 2) Uaminifu