Una salio la kutosha kwa card yako??? Ukitaka udeposit 30,000 kwa operators weng wa bank za Tz inabid uwe na atleast 45,000( 30k unadeposit, 5k ~ processing fee, 10k balance inayopaswa kubaki kwa card yako kama default min balance)Naona wananifanyia mauza uza
Na mm nataka kujua mkuu,
Mnaotaka kununua tips kwenye site muwe makini na pesa zenu hizo kama zinawawasha bora ukamuonge hata demu anaweza akakupa kitumbua...in short hao huwa ni wezi tu ukikutana na mwaminifu basi 1/100 halafu huwa hakuna ukweli wowote kuwa tips zao ni 100% sure na wenyewe wanabet kama sisi tu!! Ila kinachofanyika ni kuwa wanakuwa wanamatokeo yote 3, unakuta mwingine anapewa ticket ya team ya nyumbani ishinde mwingine anapewa team ya ugenini ishinde na mwingine anapewa game iiishe draw
Angalia hii attachment yaani unavyoona hapo mpaka mwezi unaisha hakuna loss na hata ikitokea loss hazizidi 3 yaani hizo za kuzugia tu!! Na wengine ukishafanya payment wanakublock kabisa au ndo utatuma SMS mpaka utachoka mwenyewe...kwa neno moja huwa nawaita SCAMMER nilishawaexperiance sana na kuna mmoja alinitumia juzi game ya toteheheehhnam kunivuta na wala sikushoboka naye na mwisho wa siku game ili lose na hawa jamaa huwa hawana site moja unaweza ukakuta mmoja anasite zaidi ya moja anabadilisha tu majina!! Na wengi wao huwa wanatokea MACEDONIAView attachment 1226072

una sh ngapi? Bora unywe balimi tu.Nombeni kujuzwa kwa wanao nunua mikeka wapi naweza nunua mikeka possible
Kampuni gani hiyo mkuu? Premier wanaweka timu 18 halafu zote JIWE. Wanazingua big time mazee!!!Nipeni hongera mwenzenu nimeshinda mechi 11 kwenye JACKPOT hivi nishakula mihela mil 3,947,626 hapa,,tusikate tamaa wale wenzangu wa kubet
Mkuu hawa Betensured.com wanauza tips???Mbona kuna free tips sites zinazojitahidi sana,ambapo ukiongeza na akili yako unampiga kanji vizuri kuliko kuumiza kichwa kwa fixed matches.
Tips180.com
Victorpredict.com
Jambofutaa.com
Campobet.com
Betensured.com
Kingspredict.com
Na kuna wale wengine huwa wanatoa correct score huwa wanatuma kabla screen shot kabla ya mechi lakini wanaziba zile sehemu za odd na sehemu za matokeo baada ya mechi wanatuma screen shot ile ile lakini inakuwa sehemu ilozibwa mwanzo papo wazi Na huwa wamepatia japo mimi sijawai nunua odds kutoka kwao je hao nao vip ni wezi au maana wanajigamba eti hizo mechi matokeo yameshapagwa
Ndio wanauza,,wanatoa na free tips piaMkuu hawa Betensured.com wanauza tips???
Ni option ipi unapenda kucheza kwenye live mkuuBetting bwana nikuwa makini sana, nimekula weeee baadae ikaanza kurudi hadi zero. Anae hitaji lain ya safaricom anicheki, inatumika vizuri kwa 22bet ,ndugu mmoja na 1xbet kama picha inavyoonekana nikibutua mdogo mdogo harafu nikabutuliwa kisa tamaaView attachment 1225920
Ni wahuni kweli hawa jamaa!Na wengi wao huwa wanatokea MACEDONIA
Unaaminije kuna Fixed game???? Unanunuaje Odds uliamini ni za uhakika??Ni wahuni kweli hawa jamaa!
Mwaka juz nafikir nikiwa na moto sana, nilimtumia jamaa wa Macedonia karibu 150000Tsh kupitia western union, alivyoona hela tu, email alikua anajibu kwa uzito sana ila kabla sijatuma hela, kila saa ni kunisihi nimuamini!
Hiyo site inaitwa Freesoccer 1x2!( unaeza icheki) Baadaye akanitumia odd za 1.11, 1.2, 1.01, 1.3 yan hizo ndy fixed game! Really i saw the hell from him!
Juzi kuna site ilini-email wakanishawishi kwa kunitumia freetips wala sijafatlia matokeo yake,
Kwa kupitia makosa niliyoyafanya, nimejifunza binafsi hadi leo! I never make them happy again