Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kuna wakati inabidi urisk ili ujue ukweli baada ya hapo moyo wako na akili vinakuwa vimejiridhisha!! Ukitembelea sites zao hao majamaa yaani loss ni Mara chache sana na wanakuwa na odds za kibabe.
Unaaminije kuna Fixed game???? Unanunuaje Odds uliamini ni za uhakika??
 
acha umaandazi utapigwa
 
Odds za uhakika wanazo makocha sema wamezishikilia hawataki kuachia.
bookmakers,,east asia betting syndicates,,,ma fogo wakubwa..wadhamini wa timu...viongozi wa club..some officials..viongozi wa vyama vya mpira....na hawanaga nyege za kutangaza kuuzia watu..wao wanatuma game kwa watu wanaowaamini..then wana wait winning
 
Yan mm mtu akitaka kununua tips sijui odds namuona kichaaa sanaaa
Hakuna anae jua nn kitatoke lisaa au hata dakika moja mbele sasa ww utanunua vip odds mzee hapo ni mazoea tu na uzoefu mtu anatumia kuandaa izo odds na wengi ni wezi utakuta mechi moja wanatabir kama mara tano ivi kwaiyo lazima moja itakuwa sahihi ndio utakayo postiwa ww ila hata mm ukinambia unataka odds 5-10 nakupatia kabisa tena bure mana nina mtindo wakueka jamvi la timu 20 na zina zingua mbili moja zikizidi tatu na hapo inakuwa odds 100+ sasa ndio unambie odds mbili si fasta tu

Unachotakiwa ni kuchambua timu kw asahihi tu hakuna namna

Na iyo ni mifano tu
 
Unaaminije kuna Fixed game???? Unanunuaje Odds uliamini ni za uhakika??
Nili-risk tu mana nilikua na apps nying na site za kutosha, nikashawishika huenda kuna hii kitu ya kununua odds na ukapata faida zaidi!
Ila kuna jamaa mmoja hiv mkenya alikua anauza odds, kuna siku alijichanganya akatuma ule wa kweli yan VIP, watu waka-screenshot chap, ndani ya sekunde kama 40 hiv akagundua aka-delete, ule mkeka jamaa walipiga hela sema uwoga uliwagarimu, aliyekula hela nying alikua 5M, wa chini ni 86K!
 

Wewe ullkula bei gani au uwoga ulichangia
 
mkuu unatumia vigezo gani kuchambua
 
Hawa jamaa wa NBA pre season wanafungana balaa. Wewe weka over tu kila kitu.
 
Si ndio uchambue hizo odds mbili weka mzigo achana na hizo reli zako
 
man usitumie nguvu kubwa kuelekeza loosers..mtu kama haamini fixed muache..ndo uwezo wao wa kufkiri umeishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…