Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahaahah hadi yeye akuuzie wewe kwanini asiwaalike ukoo wao wote wabet ili wawe mabilionea?

Yaaani hawa hawana tofauti na wauzaji wa vitabu "Mbinu za kuwa tajiri" wakati huo yeye hata buku ya kula lunch hana.

Achana na matapeli ya fixed, amini akili yako
 
huo ndo uanaume...mi nishapigwa hela sana na wezi..wanatumiaa western union..albania na macedonia .pia wanaija wamenipga sana....hata ivo izo fixed nimezinusa na ku win..nakomaa nitimbe singapore..kule kupata source ni fastaa ..ila bei pasua kichwa.....NB;kama unaamini fixed zipo endelea kutafta source..usiungane na mawazo ya kushindwa ya losers..wao huwa wanaamini kitu wasipokipata basi kitu hicho huwa hakipo
 
Hamna lolote.. Mnavimbishana mibichwa tu hapa.. Utaendelea kupigwa hadi utachakaa..
 
m
Hamna lolote.. Mnavimbishana mibichwa tu hapa.. Utaendelea kupigwa hadi utachakaa..
[/QUOTmaskini wa mawazo unawashwa wapi nikukune..wanaume wanapojadili njia za kumpiga muhindi,,wew mama chanja ingia jikoni andaa gahawa na gashata leta mezani
 
1xBet [emoji31][emoji31][emoji31]
Waseng* wametoa na bitcoin deposit methods
 
Mkuu kuna wakati inabidi urisk ili ujue ukweli baada ya hapo moyo wako na akili vinakuwa vimejiridhisha!! Ukitembelea sites zao hao majamaa yaani loss ni Mara chache sana na wanakuwa na odds za kibabe.

Nilikuwa nazichek hapa nitarisk tu nijaribu mbona hata kubet kwenyewe tunarisk..
 
1xBet [emoji31][emoji31][emoji31]
Waseng* wametoa na bitcoin deposit methods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…