Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nzur hii...Mi ninayo ya 20k per day.
Ukiwaza hela nyingi sana utachoka akili...hii hta stress haina.
 
Good lucky
 
C. palace - win
Bordeaux - win
Lyon - win
Gaz metan - win
Le havre - win
Bnei yehuda - win
Folkestone - wi

Odd= 70+
 
yaani ujinga wa betting bhana huwa haina formula mkuu, unaweza ukasema Leo naanza na mpango huu, na hapo hapo siku ya kwanza mkeka unachanika na kuanzia hapo plan zinakufa na utaratibu wa zamani unaendelea...point nikuwa kila MTU anakismati chake pia kwenye betting usiige formula ya mtu mwingine kwakuwa amekuonyesha ana win sana pengine kuna loss za kutosha Ila kwa kuwa anataka attention ya watu hizo loss huonyeshwi....cha msingi ni kupambana kadri uwezavyo ukawaza kuiga utaishia kuumia tu!!
 
Total Odds 9
100%

England
Premier League
Dec 3 7:30PM
Crystal Palace vs Bournemouth
1X

France
Ligue 2
Dec 3 8:00PM
Lens vs Chambly
1X

Northern ireland
Irish League Cup
Dec 3 7:45PM
Linfield vs Coleraine
1X

Wales
Cymru Premier
Dec 3 7:45PM
TNS vs Carmarthen Town
Over 2.5

England
Premier League
Dec 3 8:15PM
Burnley vs Manchester City
Over 2.5

Portugal
League Cup
Dec 3 8:15PM
Covilha vs Benfica
Over 2.5

France
Ligue 2
Dec 3 8:00PM
Orleans vs Lorient
Over 2.5

Scotland
League Two
Dec 3 7:45PM
Stenhousemuir vs Elgin City
Over 1.5

Northern ireland
Irish League Cup
Dec 3 7:45PM
Crusaders vs Institute
1
 
Genoa nimembetia kwa kufata mikeka ya wadau hapo juu. Nimeangalia statistics zake now zinasikitisha kwakua nimeshabet basi.ambao bado hamjabet angalieni kwanza data za hii timu msije mkalia baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…