Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi mbona meridean hamna ile sehemu ya kusearch majina ya timu kwa kuandika? Au ni mimi tu ndo sijui ilipo!! Naomba mnijuze wadau wa merideanbet.
 
Ndugu zangu tutafute mtaji na tubet kwa malengo,binafs nimejiwekea kila siku nilale na 150 au 200..single bet na live kwa sana,mwenye mtaji na anahitaji anicheki ili tumbutue uyu mbwa...wapo wanaobeza kwamba awez weka laki apate 130 yaaan faida 30 ila kumbuka ukipata 30 mara 4,obvious lazima bas unakuwa mbali...mambo ni live betting tu..na kujilipua zile unazoziamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wenye mitaji ya 10000 vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du umenitamanisha mkuu. Kampuni gani hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…