project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Kila kitu kuhusu betting utapata humu humu.
Umenichangaya uliposema BETTING kiujumla.
Jaribu kua specific,
Kwanini unaitaka hiyo app.
Kama ni suala la kulipia, NAHISI HARUFU YA KUTAPELIWA NA WANAIJERIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
*****BET WOOON***Inplay
Man utd vs New Castle
Goal kick first half: New Castle win
Odds: 1.72
Sent using Jamii Forums mobile app
****BET WOOON***Inplay
Man utd vs New Castle
Goal kick firsthalf: Total over 5.5
Odds: 1.55
Sent using Jamii Forums mobile app
*****BET WOOON****Inplay
Championship
Leeds vs Preston
COrners first half: Leeds win
Odds: 1.40
Sent using Jamii Forums mobile app
*****BET WOON***Inplay
Man utd vs New Castle
Goal kick firsthalf: Total over 5.5
Odds: 1.55
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna app inaitwa THE ELITE ROYALE inauzwa laki 6, naisaka kama kuna mwenye uwezo wa kuifanyia mautundu anifundishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi tafaadhar [emoji1787][emoji1787] maan waliobaki ndio watetezi wa mkeka zaid ya hapo maumivu daaaahView attachment 1304191View attachment 1304192
Sent using Jamii Forums mobile app
Viunzi vyote nane karuka kanjii daaaah bad day
dah hapo wakioengeza moja hamna shughuli, hapo ni mwendo wa kubana pumbu tu.😂😂Kubet kazi sana man u ana goli4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheki odd yake cfanyi ujinga uu bora aniue liva na 2
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hapo wakioengeza moja hamna shughuli, hapo ni mwendo wa kubana pumbu tu.[emoji23][emoji23]
Fanya yafuatayo yatakusaidia kuna watu wanajua.kuweka tips nzur za pre match baadhi yao Pdidy, Mayu, thomas, na wengine wengiNawezaje kupata app za kununua kwa free jaman? Nifundisheni mautundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Preston keshacheza faulu 18 ila Refa anajitia UPOFU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo nyosooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumia kampuni gan Kubet Man?Inplay
Epl
Chelsea vs Nottingham
Race to 7 corners: Chelsea
Odds: 1.58
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana mkuu,dah hapo wakioengeza moja hamna shughuli, hapo ni mwendo wa kubana pumbu tu.[emoji23][emoji23]