Unakuwaje na mikeka 10?daah!nilikua na mikeka kumi tofauti,timu moja moja tu nlzimechana mikeka loh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah mi nafurahi kashindaMan nyokooooooooooo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
NBA imekuwa ngumu msimu huu kubashiri.
Aya boxing day imekua ovyo tuone turudishe pesa huku View attachment 1304373View attachment 1304374View attachment 1304375
Sent using Jamii Forums mobile app
Una app yao maana jana mdau Mayu alinipa link bado iliniambia not available in your countryHatimae nimefanikiwa kufungua account ya 22bet kupitia safaricom na Chelsea kunitia njaa kwa kuondoka na ksh 460 yng,namshukuru Sana ,amenipa akili ya kubeti
Sent using Jamii Forums mobile app