kampuni ipi unatumia mkuuLazio v juventus
Celts vigo v atletico madrid
Athletic Bilbao v Barcelona
Evian v Monaco
Leicester v Tottenham
Skoda xanthi v paok Salonika
Cheltenham v oxford city
Ashinde yeyote ....odds 4.5
Lazio v juventus
Celts vigo v atletico madrid
Athletic Bilbao v Barcelona
Evian v Monaco
Leicester v Tottenham
Skoda xanthi v paok Salonika
Cheltenham v oxford city
Ashinde yeyote ....odds 4.5
Niambie kaka mkubwa .....kimya sana....... Nilihisi nawe umeenda wasapu grupu ..... Vialarm vya notification namba za wasapu tu.....Kati ya hizi kuna moja itazingua.
Will hill au bet365Naomba kujua ni softawe gani or application gani nzuri ya kubet online?
Haina shida ndugu.... Ndio maana ya uwepo wa huu uzi....mtoto wa nzi tulienda sambamba jana na juzi..
Niambie kaka mkubwa .....kimya sana....... Nilihisi nawe umeenda wasapu grupu ..... Vialarm vya notification namba za wasapu tu.....
Tunabadili upepo ....hahaaa haaa nimekumbuka uswahilini kwenye chafu tatu jamaa alipigwa pesa sana akabadili ndala ya kulia kushoto ya kushoto kulia.. Akavua flana akaligeuza nje ndani.. Aliwapiga pesa sana.... Namimi nabadili upepo nimekuja www.mkekabet.com ...pesa kutoa na kuweka ni fasta sio kama meridianNipo napita humu kimya kimya sana, business imebana.
Nimeona juzi na jana umembutua mzungu.
Game ngumu sana.
Tunabadili upepo ....hahaaa haaa nimekumbuka uswahilini kwenye chafu tatu jamaa alipigwa pesa sana akabadili ndala ya kulia kushoto ya kushoto kulia.. Akavua flana akaligeuza nje ndani.. Aliwapiga pesa sana.... Namimi nabadili upepo nimekuja www.mkekabet.com ...pesa kutoa na kuweka ni fasta sio kama meridian
Voda M-PESA.....Wameshajiunga na mtandao wowote wa simu?
Last time niliangalia walikuwa wanatumia vocha.
Voda M-PESA.....
Voda M-PESA.....
Sijaangalia hicho...ila haichukui muda ....Nimeona aisee, vipi kuhusu withdraw, ni kweli inachukua hizo dkk kumi tu?
Sijaangalia hicho...ila haichukui muda ....
Hawa jamaa ndio ninaowatumia sasa hivi kudraw hela ni kati ya dk 5 - 15Okay, hawa jamaa itakuwa safi sana.
Nipe estimation ya masaa ya kutoa fedha, atleast maana ndo bifu langu kubwa na Meridian.
Hawa jamaa ndio ninaowatumia sasa hivi kudraw hela ni kati ya dk 5 - 15