Mzawa asilia
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 416
- 204
Upo sawa mkuu labda metz huyo anaweza akadrawhapa vp wadau
Mkuu 742100. Kodi mkuuMkuu si una zaid ya million
Hongera SanaMkuu 742100. Kodi mkuu
Ahsante Mkuu kuweka mechi chache (2 au 3) ndio dili. halafu ogopa sana timu ambazo haziathiriwi sana na matokeo ya kufungwa halafu kila MTU anaipa ushindi. kuna betting mafia mkuu.Hongera Sana
Tunajiribu kutafuta mitaji kakaLeo pumzikeni tu jamani kesho kuna siku kubwa sana
Si lazima mcheze kila siku
Farans league 2 inatoa wakuuMsisahau option ya I 0-1 mnaona Jana eurpper ilivotoa first half karibia game zote kutoa man u na Leverkusen
Tunajiribu kutafuta mitaji kaka
Roots
Mkuuu leo vp mkuu
Kampuni ipi mkuu?Naona betting imeenda next level sasa wanajitangaza ITV