Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leicester, psv, ushauri hapo wakuu nataka kujilipu haswaa
 
Leo DRAW ni nyingi sana.

Hapa hukosi tatu

Wolves vs derby DRAW
Randers vs Sonderjyske DRAW
Werder bremen vs sv darmstadt 98 DRAW
SC freiburg vs fc kaiserslauten DRAW
Kalloni ael vs Platanias DRAW
 
B.Munich
Leicester
All win, maoni yenu hapo tafadhali wakuu, sitak game nying hizi zinatosha
 
Dah hii kazi imekuwa ngumu aisee, napumzika kwa muda usiojulikana. Nawatakia mafanikio mema.

[HASHTAG]#gambles[/HASHTAG]
 
Bet ikienda vizuri ni biashara nzuri but the vice versa of it ni kilio
 
utabiri wangu wa leo kwa wanaotumia meridian maana ndo option hii inapatikana ya 28+
chukua timu zote za potugal segunda na weka 28+ weka 5000/= kesho nipe jibu hapa.
 
na wale wanaopendelea magoli mengi kipindi cha pili nenda england 3 chukua timu zote weka magoli mengi kipindi cha pili weka 1000/= kesho unaamka safii kabisa.
 
utabiri wangu wa leo kwa wanaotumia meridian maana ndo option hii inapatikana ya 28+
chukua timu zote za potugal segunda na weka 28+ weka 5000/= kesho nipe jibu hapa.
magoli 1-3 huwa yanatoka sana kwenye hii ligi hata hivyo huwa haitabiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…