kwa tunao bet online iyo 28+ inahusu nini mkuuutabiri wangu wa leo kwa wanaotumia meridian maana ndo option hii inapatikana ya 28+
chukua timu zote za potugal segunda na weka 28+ weka 5000/= kesho nipe jibu hapa.
Leicester WIN
Westham WIN
Red star fc 93 WIN
Aberdeen WIN
VFB stuttgart WIN
Stock city WIN
Natupia 5000
DRAWS
-Werder bremen vs sv darmstadt
-Randers vs sonderjyske
-Wolves vs Derby
-Sc freiburg vs fc kaiserslauten
-Kalloni ael vs platanias
hapa natupia buku.
USHAURI WENU HAPA JAPO NAUAMINI SANA.
Sina sababu za msingi kwa West ham mkuu ila haijanibariki tu. Fresh kwa zote hasa juu unaweza muongeza gillingham na sheff utd kama hutojali.Mkuu PUBLIC ENEMY,fresh yako umeitoa wapi? kwa mkeka wa kwanza wa WIN tupu,au wa pili wa DRAW?
Pili,share basi sababu ya msini inayokufanya game ya WESTHAM uione DRAW.
JF NDO BABA LAO.
Dau lao la mwisho kuwin mkekabet n sh ngap
Wacha nikufuate potelea mbali...mwezi sasa unakatika cjalamba kitu leo naweza toka kimasomasoR.Madrid win
Leicester win
Stoke City win
Steaua Bucurest win
Psv win
Ac Milan win
Odds 13
Umeonaee mkuu ngoja tutafute mtajiWacha nikufuate potelea mbali...mwezi sasa unakatika cjalamba kitu leo naweza toka kimasomaso
ungeweka mkeka hapa kabla hujala tungekuona wa maana zaidiLeo mm asubuhi nimepita 100000 ya ngumu kumeza niliweka 300 tu
Poaungeweka mkeka hapa kabla hujala tungekuona wa maana zaidi
Anataka kuwa au keshakuwaLeicester anataka kuwa jini