Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani msidharau odd hata kama ni 1.12, na ndo maana waswahili walisema "kidole kimoja hakivunji chawa". Hii ni kwa wale wanaopenda kutupia timu nyingi. Hakikisha odd ni uhakika hata km ni ndogo ichukue, zikikusanyika na kufika 10 zinaleta odd ya maana then unatupia stake ya wastani 5,000 - 10,000/= ...

Mfano ni huu ...



Odd = 30+

ukiweka 5,000 unapata ka-hela kako saaaaafi kbs.

#Ushauri tu.
 

Attachments

  • upload_2016-4-11_10-48-41.png
    56.8 KB · Views: 46
FC Copenhagen himalaya kweli kamaliza mtaji wangu kabisa ndorooobo kweli
 


Total odd = 39.55
Stake = 5,000/-

Inatosha kwa leo maana naona km timu hazieleweki eleweki hivi.
 
Leo hatakama hazeleweki nampa mhindi sh2000
 

Attachments

  • Screenshot_2016-04-11-12-22-44.png
    71.7 KB · Views: 46
Sa hiz m bet wameturahisishia.. inapatikana kama aps
 

Attachments

  • 1460370313588.jpg
    22.5 KB · Views: 40
1. The millwal
2. Jong ajax
3. Nancy
4. Macab tel aviv
5. Sparta Rotendum
 
Kabaki Nancy peke yake nilipwe changu,ananiweka roho juu sana mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…