Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Hata hivyo mechi ya man city haina odds nzuri kama draw weka ya madrid wote wawili hata kwa jero unapiga hela
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Rockcity native ebu nisaidie, Meridian kwenye sehemu ya Under/Over 2.5 kuna 0-2 na 3+ sasa hapa kama nataka kubet magoli mawili au zaidi, inakuaje?
Hata hivyo mechi ya man city haina odds nzuri kama draw weka ya madrid wote wawili hata kwa jero unapiga hela
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nmekuwa nkitafta discussions kama hizi kwa mda sana.... sana sana nlikuwa natumia za wazungu.leo nkaona haiwezekani wabongo hatuwez kuwa nyuma ndo nimewapata.kumbe mpo mda tu
View attachment 180104
Mkeka wa leo huo wazee wenzangu
Celtic mbovu
forest green huwa nawakubal sn but odds kapewa nyng sn znaniogopesha.
HT : forest green 0 -0 bristol rovers
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Forest atashinda tu