Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wakwanza Gangwon fc over 2.5, anyang fc over 2.5, new Caledonia over 2.5. Mkeka wa pili gangwon fc both to score, fc anyang both to score, Soul e land both to score. Mungu baba hakika hii ni kazi ya mikono yako. Naomba ubariki mikeka hii.
Bet lost
 
daejon wanashndwa fikisha goli mbili
Mimi ni wasiwasi hizi bettin company kuingilia matokeo ya mpira. Yaani unaweza kuchambua mechi kwa umakini lkn zile unazoziacha ndio zinakuwa nzuri na ulizochukua inakuwaahumashi.

Betting mafia
 
Haya wenzangu na mie wa Basket twendeni hivi, kwa MAJOKER waweza chagua timu kadhaa.. 90% SURE.

Badae ntaleta mrejesho.....
 
Wakusoma hawa betting company kunamchezo wanafanya. Yan mtu unaenda deep alafu mapicha picha. Ila hatukomi. Huwezi kumla muhindi kama haubeti.
 
Haya wenzangu na mie wa Basket twendeni hivi, kwa MAJOKER waweza chagua timu kadhaa.. 90% SURE.

Badae ntaleta mrejesho.....
nazipataje hzo over coz kwangu zipo 1.83 nakuendelea hzo za 1.64 szioni nafanyajee mkali help plz....
 
Haya wenzangu na mie wa Basket twendeni hivi, kwa MAJOKER waweza chagua timu kadhaa.. 90% SURE.

Badae ntaleta mrejesho.....




Malela.nc, mkuu ngoja nije huko kwny basketball ... ujeuri wa kung'ang'ania football ambayo haiishi wachawi hausaidii ...
mxiuuuuuuuu



hata ka kuzia mtaji kameshindikana.
 
Hahahha..!! mi hapa nimepigwa kamtaji kote na faida jana sa hv ninekua observer tu, ila nikipata mtaji lazima ntarudi kama noma na iwe noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…