Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkamalia umeamkaje? Hope upo good, ok kitu hiki hapa kimepigwa msasa mpaka inetoka cream tunayotaka.

Stake kuanzia buku j3 ule maisha.
Code😀74EF40[emoji123][emoji483][emoji898]
Tajiriii Mikeka yako naielewaga Sana Kamanda.

Huu wa over 0.5 umekaa sawia.

Ingawa mm fans wa Man utd , naweka ushabik kidogo [emoji23][emoji23][emoji23] naipa man utd or FT over 0.5 na sio Brighton .

Ntaurekebisha kidooogo alaf natia buku 5 itoke Mill 1.

Nakata ticket kwenye treni lako Tajiri.,
Nabadilisha tu Siti.

Tutafika Kigoma Inshallah
 
Jambo jema mkuu, [emoji123]

Wote watapata magoli mm nimeangalia faida ya anayecheza nyumbani na currently form ya man u.

Lkn chamuhimu tumpige kanj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…