Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usiende Mbali,hata Mechi ya Simba jana na MAMELOD
Yaani MAMELOD alipewa odds kibao,hatimae kamchapa Mwarabu kwake goal 3

Sometimes hizi odds tunaziogopa tu
Washatusoma kuwa tunaziaamin odds ndogo kuw pa ndo zenye uhakika wakati siyo hivyo Kwa asilimia mia moja
 
Ukitaka kumpiga muhindi bet mechi za kuanzia saa 12 Jioni hadi saa 3 usiku au 4 usiku hukosi hela, hizi za mapema kaa mbali asubuhi mchana kaa mbali

Siri ya Ndani nimewapa hio, ongeza na za kwako
Imani tu

Yaani uziache Inter Milan, Tottenham, Barcelona,Man united,Yanga zinazicheza Mchana kweupee nikasubirie Bucaramanga sijui kina Getafe
 
Nimerudi katika mapamba aise

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WOTOoooooooooo

Aisee pamoja na kurudi,nataka nikupe Code Moja ya 10 odds nimeyotulia nayo kama ukaribisho wako,ukiliwa namie ujue nimstake ,so wote tutakuwa tumeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…