mkuu apa maumivuGirona FC v CA Osasuna Y Odd 2.02
Stake 200,000
Return 402000
Osasuna leo anaingia laliga kwa ushindi wa 2-1
Msiseme nimechelewa kutupia huo mkeka.
LEO MKEKA MMOJA TU.
Pole sana mkuu, naona jamaa kaminya sharubu mpaka kikaeleweka.
Noma sana, mie mwenyewe ndo naamka saizi naangalia hapa nakutana na magoli tu hata dak 10 hazichafika.daah nimechelewa Australia aseeee .. nmepishana na hela ... grrrrrrr
Labsa kama ni 1-1, mechi ngumu sana iyo haiwezi fikisha 3 goals.Girona FC v CA Osasuna Y Odd 2.02
Stake 200,000
Return 402000
Osasuna leo anaingia laliga kwa ushindi wa 2-1
Msiseme nimechelewa kutupia huo mkeka.
LEO MKEKA MMOJA TU.
Labsa kama ni 1-1, mechi ngumu sana iyo haiwezi fikisha 3 goals.
Hahahah, kaka ushindwe na ulegee ... kuna mkeka wangu mmoja wa timu 5 umeshatiki timu 4 nawasubiri Girona/Osasuna watoe 2+ nivute umatemate. Af nlijua wamecheza jana ... daah hangover hizi taabu kwl kwl
Ngoja niwawahi hawa ...
-------------------------
- Saturday 18. June 10:00
North Pine vs Logan Lightning
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.31- Saturday 18. June 11:30
Rochedale Rovers vs Albany Creek
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.40
Total odds = 1.8
Labsa kama ni 1-1, mechi ngumu sana iyo haiwezi fikisha 3 goals.
Hahaha...hiyo mechi ni jipu, hiyo hata under 1.5 bado ni salama tu, basi tuombeane yasizidi mawili wote tupate.Huu apa ... af nilichanganya desa, nlijua hii mechi ni ya jana ... kumbe wanacheza leo.
Labsa kama ni 1-1, mechi ngumu sana iyo haiwezi fikisha 3 goals.
Hahaha...hiyo mechi ni jipu, hiyo hata under 1.5 bado ni salama tu, basi tuombeane yasizidi mawili wote tupate.
Osasuna hawezi ruhusu goli 2 mkuu wakati keshanusa kuqualify vivyo hivyo Girona atafight muda wote kuequalize ili arejeshe matumaini, ngoja tuone, kumbuka tu ulivyoyabana siku ile, leo andaa kabisa mzinga wa konyagi pembeni..heheSumve hii mechi ya Girona ww kwa mtazamo wako umewapa under1.5. ila mm naimani lazima wafungane, tena 2-1 alaf game inaenda mia ishirini ndio maana nimejelipua, nikiliwa basi.
Hahaha...Kanjubay noma sana, kafanya watu wawe wachambuzi zaidi hata ya Dr Leakey, wanajua mpaka ligi za China.
unamsubiri rochedale sahvHahahah, kaka ushindwe na ulegee ... kuna mkeka wangu mmoja wa timu 5 umeshatiki timu 4 nawasubiri Girona/Osasuna watoe 2+ nivute umatemate. Af nlijua wamecheza jana ... daah hangover hizi taabu kwl kwl
Ngoja niwawahi hawa ...
-------------------------
- Saturday 18. June 10:00
North Pine vs Logan Lightning
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.31- Saturday 18. June 11:30
Rochedale Rovers vs Albany Creek
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.40
Total odds = 1.8