Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Waliwafunga kwenye super cup mwezi March ndo maana nikasema leo hawatakubali kufungwa tena na vile sasa hivi wako vyema so double chance ni pesa.


Nmekusoma kamanda ... kumbe ulimaanisha game yao ya mwisho kati ya FC Astana na hao K. Almaty
 
Sijakuelewa, kama ni kuhusu hao tuwape double chance ya X2, wasifungwe au magoli under 2.5.


Yeah man ... double chance X2. Mara ya kwanza niliwaza kuwapa 2+ ... lakini baada ya kuona ugumu wa mechi, nafikiri Under 2.5 itakuwa mwake. Mkekabet wametoa option ya double chance ndo maana nimeweka Under 2.5

My prediction kwa hiyo game ni: K.Almaty 0-1 FC Astana
 
Natembea nao
 
Wa Kusoma, m-pesa/mkekabet wamesharudi ... ukituma hela within 1min imeshaingia kwa account. Tupe dondoo ..🙂🙂
Asante kunishitiua. Jana ilikuwa siku nzuri sana kwangu. Ngoja tuone leo inakuwake. Hii ni kazi
 
Halmstad win
Hougang win
Home utd win

Total odds 7

Naona ugonjwa wa win umenirudia tena
 
Ngoja niende kwenye maombi nitarudi nikitaka kwenda M-pesa kuchukua ya sadaka. Hapo jumla nikila Nina M1.3 Faida
 
Mkekabet waoga wa kuliwa kinoma ... wanabana kwenye options na mechi nyingine wanazohisi watapigwa hawaziweki. grrrrrrrrrrr !!!
 
Ngoja niende kwenye maombi nitarudi nikitaka kwenda M-pesa kuchukua ya sadaka. Hapo jumla nikila Nina M1.3 Faida


Mbona huo mkeka wako haufunguki Chief? urushe tena tudese ... km kufa tufe wote ... heheheheheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…