Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nmedeposit meridian na mkeka hawajani tumia pesa kwa acc 45min tangu ni deposit
 
Pole sn ... nimeona Warrior kafanya yake. Mi bora mkeka mwingine nliweka 3+ ... ule mkeka nilidesa kwako nimeshachana. Hapa naomba FC Astana wasifike magoli ma3 ... la sivyo nachana mingine mi2 iliyobaki.
bet won et
 
najilaumu Kwan niliweka day do go dadadak damnnn
 
premier betting ni kende au.. tangu majuzi m-pesa payment method haifanyi kazi na pesa zimeganda hewani.. walete kende zao 2betie.. (kama kuna premierbet wakala humu tusameheane tu, tumeshalogwa na mr. mandevu) ila wafanye mambo basi..
Yaaani wamenifanya mnyonge kweli kweli siku inaenda ya 4 pesa haijulikani ilipo...
 
Naona nishamkalisha muhindi mapema
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1466704128128.jpg
    29.2 KB · Views: 31
jamanii naombeni odd 4 nirudishhe deni la kanjibahii..
 


Bet Won !! mtonyo kibindoni teh teh te
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…