Kaka kesho nataka nijaribu
Oakeligh Y
Richmond Y ushauri hapo
Natafuta odd 3 za kesho asbh
Kesho mechi nyng zinaanza mchana, za asbh ni Jmoc & Jpili
buddy ushaur kwenye hiyo Y au nisubiri kesho.
maombi yenu muhimu wadau
Me jana asubuh niliweka hela tigopesa hainekan mpaka sasa hiv nawapigia wanasema transaction wanaiona ila tatizo lipo tigopremier betting ni kende au.. tangu majuzi m-pesa payment method haifanyi kazi na pesa zimeganda hewani.. walete kende zao 2betie.. (kama kuna premierbet wakala humu tusameheane tu, tumeshalogwa na mr. mandevu) ila wafanye mambo basi..
Hahaha, mkuu mm timu za USA I have no clue kbs ... labda ucheck msaada ya prediction sites Chief.
Kama vp we potezea tu ucheze timu za uhakika kesho kuna mechi nyng sn!
Nataka nilale hivi na Wabrazil.
Gremio win
Sao paulo win
International 12
Ushauri wenu plz kabla sijaachia 100k
Cc
Buddy
Sumve
Bologna etc
Yaani hata sielewi nn kinatokeagaHahahah ... Wa Kusoma umerudi kwenye direct Win ! hapo kwenye Sao Paulo vs Sport Retife pana mziki ... labda Y.
Nataka nilale hivi na Wabrazil.
Gremio win
Sao paulo win
International 12
Ushauri wenu plz kabla sijaachia 100k
Cc
Buddy
Sumve
Bologna etc
Hehehe...na uwe na roho ngumu hasa, pitia nyuma huko nadhani mwaka juzi enzi za kujilipua utajua kwa nini niliacha, kunaile kubet afu unajikabizi ahela kwanza kwa muda, issue inakuja pale mkeka unapokulazimisha ubakie huko ahela wakati wewe unataka utoke uplace mkeka mwingine na ujasiri wote kana kwamba hujaliwa.....hahahahahaaaaYaani hata sielewi nn kinatokeaga
[emoji818]Bologna, km kiu ni kubwa sana ... hizi odds 2.08 zitafaa
-------------------------
- Friday 24. June 03:30
Coritiba PR vs Internacional RS
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.31- Friday 24. June 03:00
SAO Paulo SP vs Sport Recife PE
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.20- Friday 24. June 01:15
Gremio RS vs Vitoria BA
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.32
Total Odds = 2.08
Na kuna mkeka nilicheza wa tennis zote zimetoa kasoro moja ambayo ilivunjika haikuisha sasa ni wik inaenda ya pil upo pending nawapigia wanasema bado matokeo yakedah hawa bado hawajarekebsh.. inaonekana hawa si reliable kabisa (moja ya sifa mbaya mama ya bookmaker yeyote duniani)..
Ni kweli uliona hiyo tu? ya magoli yasizidi mawili hukuona?pale unapofanya statistics ucku mzima afu kesho matokeo yakakuonesha bora ungefumba macho ubonye tu option yeyote..
sawa..ila kucheza final score ni 50/50maombi yenu muhimu wadau
kiongozi niajeMie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga