Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #3,581
anhaaa.....basi ipo ivi 30 imenipa returns 62 elf....yani 32 faida
yani niliweka dau la 30 elf...ila inayorudi ni 62 elf........iyo 32:ni faida!!!
hapo sawa vipi uliweka game ngapi kwani
Mi nadhani sahivi watu tudili sana na hizi option special kama redcad,yelow,corner,under na over, kuliko kudili sana na final results
daaaah!!! Mshahara wangu π :sad:
daaaah!!! Mshahara wangu π :sad:
wakuu leo wapeni hawa....
Modena vs citadela , win, l 1 l - seria b - Italy
Rio ave vs boavista , win, l 1 l - premiera division - Portugal
on your own risks...
Nimekomaaa, nimekoma nimekomaaaa
Nimekomaaa
Nimekomaaa, nimekoma nimekomaaaa
Nimekomaaa
Mzee mwenzangu yamekukuta wewe yaliyonikuta mimi au??? Daah yaan leo mpaka wafanyakazi wenzangu wananiuliza kama naumwa π :sad:
Mzee mwenzangu yamekukuta wewe yaliyonikuta mimi au??? Daah yaan leo mpaka wafanyakazi wenzangu wananiuliza kama naumwa π :sad:
baharia kwan jana haukudefend
Andybird mzee wa kujilipua, itakua ule mzigo aliopiga kaurudisha kwa madrid