Mkuu sijui kama ulinifata hapa Tayari tumemla kabla ya 90mins
Mkuu sijui kama ulinifata hapa Tayari tumemla kabla ya 90minshongera,bt uwe unatutumia Tuigilizie...Sio kututamanisha tu wakati umeshinda..
Hahahhahah
Mimi binafsi nimeona Italy atashinda ndio namuwekea dhamana leoGermany itashinda leo
Mkuu sijui kama ulinifata hapa Tayari tumemla kabla ya 90mins
weka 3+ game ya germany v italyNimeshapigwa 30..... Point 3 please .... Nirudishe hasara....sijitambui kuweka mkeka
kuna hii game ya limerick na ucd, odds kibao kwa ucd in-play
ucd mkuu, limerick kachezea red card hawez chomokaView attachment 362328anashinda nani unadhani mkuu ili nijilipue forebet.com walimpa limerick 3-1 kama inavyo onekana hapo juu
Limerick karudisha ngoma 2-2ucd mkuu, limerick kachezea red card hawez chomoka