Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumamamae PSG na Monaco mnaondoka na mtaji mzima leo, sidhan kama wikiend hii ntabet aisee hawa wasengerema sana
 
Kumamamae PSG na Monaco mnaondoka na mtaji mzima leo, sidhan kama wikiend hii ntabet aisee hawa wasengerema sana
Mi hapa nimeshpigwa 1/3 ya mtaji wangu nliokua nimeandaa kwa ajili ya kesho, ngoja nilale tu wasije wakaula wote.
 
Meamka nina elfu sabini sa ivi nina elfu tatu chezea kanji wewe, sijui kesho ntapata tena kianzio
 
Nlisema, kuna surprises nyingi sana mpk ligi zichanganye Kanji atakuwa ameshatupiga za kutoshaa ... damn Football !! grrrrrrrrr

Tukisema tuwafuate BankoCep nao wanapigwa, sijui tufuate upepo upi wallah
 
Liefering kaishaharibu shughuli huku nyama huyu.. Kashindwa kutoa handicap bhana
 
Kesho nayo no way out ni kuwa makini tuu tutakula tuu game mwisho tatu!!!! Na kuweka mpunga wa maana!!!!! Good night to you all
 
Daaaah yani mbet nimebet mkeka toka jana, ushindi ulikuwa laki nane lakini kadri mechi zinavoenda hela nayo inapungua nashindwa kuwaelewa

Usiwe na shaka mzeiya....wapogo hivyo hivyo....bt ukishinda, lile salio la mwanzo ndo utapata.
 
Nimepigwa kama mbwa mwizi na kanji mejikuta nacheka peke angu kitandani imagine meamka na elfu 70 sasa ivi nina elfu tatu daaaah.
MWAMBIENI SITAACHA KUBETI IPO SIKU TU ATAINGIA KWENYE 18
 
Tanzia:
Familiiiaaaaa ya Bwana Mtoto wa Nzi anatangaza kifoooo cha motto wao pendwa mkeka kilichotokea janaaaa nchini ufaransa kwenye hospitali ya Monaco. Taarifa hizi ziwafikie ndugu na jamaa waliopo Anderletch ubelgiji na utretc uholanzi. Maziko yatafanyika Leo kwenye ufunguzi wa EPL. Kwa yeyote asikiaye taarifa hizi awafikishie ndugu na jamaa waliopo Ruasso Kumamoto Japan.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ ....na kutatokea vifo visivyotegemewa kwa kuwa Kanji kanoa mapanga yake dhidi ligi zote tulizongojea.
 
hahahahaaaaa mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…