Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tumelala na Sura za Marehem wetu🀣🀣🀣🀣

Betting NDIO ajira ambayo Bossss na Tajiri mnakutana na mnamalizana hapo hapo

Chumba cha Mabachella walikuwa wanapiga story mara kimyaaaa Wana Sonya tu🀣🀣🀣🀣🀣
 
Dah bayer vs stuttgat hata gg mamaee mkeka wa wik moja nimekataa caush out jana ya milion mbl leo naambulia patupu dah ngoja nisuke tren lingne
 
mtu unajitoa Ashinde yeyote inachana, ashinde adraw inachana, Ashinde nani sasa??[emoji23][emoji23] khanji utatuua inatosha baba[emoji119][emoji23]
Nimeamka hapa kuangalia kama kuna chochote kitu, nakuta Lyon kakosa hata goal moja, home team over .5, aiseee

Huku kwenye mkrka mwingn leverkusen nliwapa over 1.5 wametoa nyau nyau.

Kiufup jana muhind karudisha hela yake nliompuna juzi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Stuttgart siku hizi yeye hafungi na hataki kufungwa ni kuwa makini nae sana
 
View attachment 3140440
Accumulator Of The Day ⚽

Booking Code: PBEEA

Haupo PariPesa?

Jisajili Hapa https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 wakati wa kujisajili upate bonus ya asilimia 200.

1200000 BOOM βœ…βœ…βœ…πŸ”₯βœ…βœ…βœ…πŸ’°πŸ’°πŸ€‘βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

500000 - 1200000 BOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βš½βš½

Haupo PariPesa?

Jisajili HapaπŸ‘‰ https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Telegram Kayombo Tips ⚽πŸ₯ŽπŸˆπŸŽΎπŸŽ±πŸ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…