Wazee wenzangu wa uwekezaji, kuna chimbo la uwekezaji liko poa. Lenyewe ni kubet kinyume na matokeo. Na ukijiunga na timu maalumu ya kualikana, siku mkeka ukichanika, mtaji unarudishwa wote isipokua faida ya siku hiyo tu.
Kama unataka kujiunga bonyeza link hapa chini itakupeleka kwenye kujisajili.
nililetewa afu nane jana kwa buku...nikajiafanya nawaamini wofubagi......dakika za jiooniiii watoto wakachomoa 2-2 kanji anaagiza pilipili sahiv anakunywa chai na pilipili
A5D4297 sportybet
TIA HERA UPATE HERA
NB: KUA MAKINI NA CASHOUT USICHEZE MBALI
@kentaro yuko wapi siku kama hizi tunayamisi matreni ya odds 10000 na kuendelea! Maana jana Sheffield nimempa atoe goli moja tu alikuwa na odd 1.18 na akashindwa nikaliwa leo nataka matreni tu niweke buku buku, na jero jero mikeka hata ya elfu 50 kuliko kuliwa elfu 50 na mkeka mmoja wenye odd 2 ni ujinga
1xbet naona wamerudisha miamala kwa simu (deposit & withdraw), huduma hii ipo sawa au ndo leo unaweka ukila huwezi withdraw kwa mobile money? nani katumia hii huduma?
Chonde chonde angalizo big teams usiwape direct wins maana wametoka kucheza UEFA na wengine UEROPA na bado J5 wanajitafuta wabakie UEFA au EUROPA Ina maanisha mechi za weekend kuna baadhi wachezaji wa muhimu watapumzishwa na usishangazwe na matokeo ya leo π€£ππ€£