Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

DDbBET KAMPUNI MPYA YA KUBET TANZANIA

OFFER ZILIZOPO DDBET

UKIJISAJILI NA KUEKA HELA WANAKUPA MARA 2 YA KIASI ULICHO WEKA👇

HAWAJAMAA HAWANA MAKATO KABISA ILE YA 10% NI FULL KITONGA

UNAWEZA KUIBETIA MECHI MOJA ZAIDI YA MARA 2 KWENYE MKEKA MMOJA KWA OPTION TOFAUTI

APPLICATION YAO NI NYEPESI SANA [THMOOTH] KUIPAKUA GUSA👉https://db-bet.co/3EpTcbU

UNAWEKA PESA NA KUTOA MWENYEWE HUITAJI WAKALA📌💰

KUJISAJILI NA DBBET GUSA👉DBbet á Online sports betting á DBbet online bookmaker log in á db-bet81459.top


PROMO CODE JAZA BUZA


KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU DBBET WhatsApp +255713675547
 
5CQDKV sportybet
haya jambo endelevu.....
linamalizika j2
tia hera upate hera
kama una mzigo wa kutosha punguza timu
 
Hii shughuli ngumu sana.
Arsenal kazamisha meli nying za mabaharia.

Mselemala kweli

Sasahiv ni mwendo wa DC, Handcap na over 0.5...
Tuombee asitokee arsenal mwingne
 
Najarbu boxing bet
 

Attachments

  • Screenshot_20250227-143754.png
    308.8 KB · Views: 2
Hii nyingine.
58ZXUD
Odds 3

Sportubet
Weka Mke.

Odds hizi 2 za Sportybet
Tmr ntaleta mrejesho

1. 5REH5L Odds 2
2. 58ZXUD odds 3
 
Jana nimeumia sana Yan niliweka hizi correct score match tatu za Scotland kama kubahatisha tu nikaweka zishinde 2-1 Na zote zilikuwa hivyo zimetoa mpaka dakika ya tisini ziko sawa zote 2-1 sasa dakika za nyongeza Refa anaziongezea dakika 9 na nyingine dakika 7 si zikaongeza magoli mbili zikatoa 3-1 Yan kiroho kiliniuma sana 😂 Sijui ilikuwaje refa kuongeza dakika 9 Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…