Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalau basi tuwe tunaweka matarajio ya matokeo ya mechi husika, na kuomba mawazo ya maafisa wengine pia. Zamani kwenye huu uzi ilikuwa inaleta mjadala na kutoka na chaguo la matokeo ya mechi ambalo ni bora zaidi.
 
Pia nitoe tahadhari kama kuna watu wanatumia kampuni ya sportybet wacheze kwa tahadhari, hususani ile mikeka ya kula pesa ndefu.
Wamelalamikiwa nchi zingine kufuta mikeka na kuwasumbua washindi wakubwa kwenye ulipaji.
 
Huyo anabetia 200, Mwenye stake kubwa hawezi weka timu nyingi hivo kama anacheza yeyeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£
Mkuu Hizi kauli huwa hazina afya kwenye uzi huu, kila mtu ana namna yake ya kubet

Mtu kajipinda kusuka mkeka na aka share code kiroho safi kabisa
Halafu mtu unakuja kukejeli

Hebu share wewe huo mkeka wa stake kubwa na timu chache na unaingia uwanjani kucheza wewe tuone unavyo mbutua muhindi
 

Booooooom βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ€

519K WON βœ…
βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

JISAJILI DBBet Hapa πŸ‘‰DBbet Γ‘ Online sports betting Γ‘ DBbet online bookmaker log in Γ‘ db-bet81459.top

DBbet Γ‘ Online sports betting Γ‘ DBbet online bookmaker log in Γ‘ db-bet81459.top

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Pata Bonus Ya 425000 Ukijisajili DBBet Kwa Kutumia Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…