Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

duuuuh dk ya kwanza tu mambo yashaanza kuharibika
 

Attachments

  • Screenshot_20250414-150329.jpg
    171.8 KB · Views: 23
Mambo si hayo
 

Attachments

  • IMG_20250414_220005.jpg
    113.5 KB · Views: 29
Mtaji sh ngapi?
 
Hivi hizi kauli za bure kwanini huwa mnaziongea kiuongo.

Kwanini msiseme kuwa ukiweka kiasi fulani utapata kiasi fulani bure.

Hata kama ni kuvutia wateja ila mnakosea ndugu zangu maana ni sawa na kumtapeli mtu.

Kweli umpe mtu zaidi ya laki4 kwaajili yakujiunga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…