Hahahahaaha aisee!Hawatoamini ...... MaQumer hawa...... Watabaki kubetisha vibandani ....
Yaan jana game ngum zote zilitik ikabak mech ya PSG atoe droo tu nimtukane muhindi daah kanjubai sio bure aisee lazima atakua na nguvu za giza tuJana PSG kafa na watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wa tennis US open leo mech za kumwaga
Daa basket pesa nje nje yaan nasubtia tu NBA ianze aisee na zile za ulaya...ila kuna governor cup ya phillipines kule wanapiga vikapu hatari mnoo ni mwendo wa kutia over tuuHuko mie ni mweupe kbs ... sijui A wala B. Mi ni football na basketball baaasi.
Daa basket pesa nje nje yaan nasubtia tu NBA ianze aisee na zile za ulaya...ila kuna governor cup ya phillipines kule wanapiga vikapu hatari mnoo ni mwendo wa kutia over tuu
Hapa kuna kaukweli flan....Yaan jana game ngum zote zilitik ikabak mech ya PSG atoe droo tu nimtukane muhindi daah kanjubai sio bure aisee lazima atakua na nguvu za giza tu
Mbn inaendelea now mkuu?sema ck mbili hz hamna nafkir mpk keshokutwa ndo kuna mech tenaAaah aisee wale wafilipino ni hataree sn Chief ... hiyo Governor Cup inaanza lini?
Mbn inaendelea now mkuu?sema ck mbili hz hamna nafkir mpk keshokutwa ndo kuna mech tena
ngoja waanze wachina ucheke kikapu chao ni noma 200 points ni kugusa tuAaah aisee wale wafilipino ni hataree sn Chief ... hiyo Governor Cup inaanza lini?
ngoja waanze wachina ucheke kikapu chao ni noma 200 points ni kugusa tu
Tranmere
Forest green
chorley
darlington
kiderminister
Fylde
Maidenhead
Ebbsfleet
DOUBLE CHANCE 12
odds 4.5
dau 5000.
return 22500 ...
tukuze mtaji salio la mwisho
ππππ akiruka na hapa simpati tena
Hahahahahaa...Tranmere
Forest green
chorley
darlington
kiderminister
Fylde
Maidenhead
Ebbsfleet
DOUBLE CHANCE 12
odds 4.5
dau 5000.
return 22500 ...
tukuze mtaji salio la mwisho
ππππ akiruka na hapa simpati tena