Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuweni wakweli kwenye matangazo yenu.

Najua ni kazi yenu lakini kudanganya watu kuwa mnawapatia dau la bure bila kusema masharti ya hyo bure sio jambo zuri.

Kupata pesa kwa kudhurumu nafsi ya mwingine ni jambo baya sana.
 
⚽
 

Attachments

  • IMG_20250415_131205.jpg
    23.4 KB · Views: 26
Aiseeee

Juzi Betpawa walikausha Account ikasoma 0

Leo nikataka ni deposit, ile nafungua tu app nakuta account inasoma 64K

Kucheki vizuri kumbe nilicheza Pawa6 nikapata point zilizo nipatia mkwanja 😂
 
betting imekua ngumu. watu baadala ya kusaka mikeka, wanasaka watu.

kuna wa promo code, wa kutangaza channels/magroup, wa sure fixed odds, wa affiliate market, schemes za ponzi n.k.

ukiingia kichwakichwa unakua fursa bila kujijua
Promo code tu ndo zinafanya watu waishii kwa wenzao kulost otherwise hatuna maisha kabisa.
 
Umakini unahitajika Leo kumpa Barca, wakala wa betting company kibindoni akiwa na CHUMA 4. PSG Hana njaa, Hana mbambamba mpe bila wasi.
 
Wakuu msaada pm..
Sportbety wanataka kusepa na pesa yangu tena ni nyingi mwenye utalamu naomba aje anisaidie kuna chochote kitu nikifanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…