Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hii option niliyochagua naweza kuipata hapaSportybet wapo sahihi mkuu, hapo ulipokosea ni kuumpa Villa apate goals kuanzia mbili halafu tena ukaweka matokeo ya mwisho kwa huyo huyo Villa iwe chini ya magoli mawili.
Ndiyo penyewe mkuu, na hilo ndio kosa ulilofanya maana ulienda direct kwenye option hio ya Under/Over.Hii option niliyochagua naweza kuipata hapa View attachment 3305738
Jchriss kuna kitu hapo ujaelewa..Ndiyo penyewe mkuu, na hilo ndio kosa ulilofanya maana ulienda direct kwenye option hio ya Under/Over.
ndio hio apo home ova/ andaHii option niliyochagua naweza kuipata hapa View attachment 3305738
Angalia hapo nilipochagua mm mku wameweka over/ under hapo ndo niliposukia mkeka wangundio hio apo home ova/ anda
Ndio hio hio home Under/Over. Kwa sababu uli click odds za mwanzo ambazo zinawakilisha Home Team.Jchriss kuna kitu hapo ujaelewa..
Mkuu sehemu hyo ukawa una pick match unaweza pata option hiyo au mpaka uwende deep..
Mkuu hapo sehemu gani inaonesha home team ipate over au onder mbona hakuna ila ni overall team yaan match nzima
Duuuh mkuu ile option ya kuchagua match nzima yaje magoli mawaiili au juu ya mawili unaipata vipi..?Ndio hio hio home Under/Over. Kwa sababu uli click odds za mwanzo ambazo zinawakilisha Home Team.
Hii sasa ndio kwa overall teams.Jchris14 ebu nambie kama hapo market team ninipi kwa option kama hizo..
Nambie ni overall team au ni team moja moja... View attachment 3305747
Daaah wale jamaa wamenifanyia ujanja seriously....Hii sasa ndio kwa overall teams.
Yaani hapo ulipokosea mwamba, na ulichukulia/kebetia odds za mwanzo ambazo zinawakilisha home team over/under.Angalia hapo nilipochagua mm mku wameweka over/ under hapo ndo niliposukia mkeka wangu
Mkuu just imagin odd zilikua 15k huko alafu huyo team moja tuu ambayo hata sijui imetokea wapi aiseee daaah kweli hapa kuwa makini tuuu dadekYaani hapo ulipokosea mwamba, na ulichukulia/kebetia odds za mwanzo ambazo zinawakilisha home team over/under.
Unatakiwa u click hio game ifunguke yote na ifungue menu yoteDuuuh mkuu ile option ya kuchagua match nzima yaje magoli mawaiili au juu ya mawili unaipata vipi..?
Pole mkuu, hizi mambo unatakiwa uwe zaidi ya umakini kukagua mkeka wako kabla huja place.Daaah wale jamaa wamenifanyia ujanja seriously....
Sijawahi kupagusa kule pa home O/U wala away O/U
Daah hapo nimekuelewa kiongoziUnatakiwa u click hio game ifunguke yote na ifungue menu yote
Ulijitahidi kusuka mkeka vyema sana ila ulifanya kosa la kutokuhakiki mkeka wako kabla huja place.Mkuu just imagin odd zilikua 15k huko alafu huyo team moja tuu ambayo hata sijui imetokea wapi aiseee daaah kweli hapa kuwa makini tuuu dadek
Mkuu leo nimejariby mpaka kulia aiseee haya mambo hayaPole mkuu, hizi mambo unatakiwa uwe zaidi ya umakini kukagua mkeka wako kabla huja place.
Na hapa nasema nilifeli sana ila sasa nishajua dawa yao hawa bila kukagua wanakubambikiaUlijitahidi kusuka mkeka vyema sana ila ulifanya kosa la kutokuhakiki mkeka wako kabla huja place.
Usijali mkuu, fanya leo sio ridhiki kuna kesho na siku zingine utambutua tu kanji ila umakini ndio muhimu zaidi.Daah hapo nimekuelewa kiongozi
Nisha place hapa tren moja hv alafu nione hayo maajabu tena daahUsijali mkuu, fanya leo sio ridhiki kuna kesho na siku zingine utambutua tu kanji ila umakini ndio muhimu zaidi.