Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet wapo sahihi mkuu, hapo ulipokosea ni kuumpa Villa apate goals kuanzia mbili halafu tena ukaweka matokeo ya mwisho kwa huyo huyo Villa iwe chini ya magoli mawili.
We nae huelewi kitu hapo....Huoni jamaa kachagua game ya makopyuta na sio the real one? "SRL"=Simulated Reality League..!!SportyBet kuna baadhi ya mechi huwa wanaweka kwa aina mbili "Real" & "computer simulated". So mdau hapo alichanganya tu lakini option iko sahihi kabsa
 
Wakati anahitaji msaada ulikuwa wapi? 🤔
 
Mkuu leo nimejariby mpaka kulia aiseee haya mambo haya
mkuu nimekusoma toka mwanzo na kuona huo mkeka wako..niseme huo mkeka wako umechanika kihalali kabisa Sportybet wapo sahihi kukupa lost kwani ww ulichagua mechi za SRL na aston villa alipata goli moja tu hata ile ya Dortmund kwenye mkeka wako ule nayo ni SRL..hatujui kama ww unapenda hizo mechi za SRL zipo kama game tu kwa computer..mkuu unakumbuka kipindi kile cha ugonjwa wa Korona ligi nyingi zilisimama duniani kisha ikaletwa ligi bandia ya SRL=Simulated Reality League..basi hizo mechi ndio ulizachagua ww kwenye mkeka wako..labda ww ndio unazipenda hizo SRL badala ya mechi halisi za uwanjani.! na kama hukuwa na mpango na SRL alafu ukazibetia basi ni uzembe wako tu na kukosa umakini huna wa kumlaumu..ligi ya SRL ya kipindi cha Korona unabetia leo wakati mechi kibao zimejaa live uwanjani..ongeza umakini next time
 
Yaani sehemu ya kuweka hela rehani yeye anakodoa macho tu bila kuwa makini
 
Afisa mimi ni mgeni katika hii issue ndo mana...
Hata selewi hiyo issue ya SRL wala nini..
Kuna siku niliwahi kubet nashangaa mechi imechezwa ndani ya dakika an chap chap na pesa ikaenda chap chap kumbe ndo nikajua kuna sijui SIM na hiyo nyingine ila uliyosema bado sijajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…