View attachment 3320817
Kuna vitu vingi sana ambavyo utendaji kazi wake haukamiliki mpaka kuwa viwili, mfano mikono, miguu, macho na vitu vingine kibao....sio tuu kwenye mwili wa binadamu formula ya mbili mbili inaenda hadi kwenye vyombo vya usafiri, ushawai kuona Baskeli yenye tairi moja?, au kuona pikipiki yenye tairi moja?, kote utakuta formula ya mbili mbili inatumikaaaaa
Sasa sikia formula ya mbili mbili inaweza badili pia maisha yako kwenye maisha ya kawaida, leo nakupa mchongo kuna hawa jamaaa wanaitwa
Sokabet aloo, kwa wale wanangu wasuka majamvi, wakamaria, watake risk kuna hiyo kitu huko inaitwa EP, mchongo wa hapa ni kuwa ukisuka keka afu ukabishiria kwa option hii ni kwamba mkeka wako unatikiiiii mapemaaa kabisa endapo tuu hiyo team uliyo ibashiria ikaongoza kwa zaidi ya goli mbili dhidi ya mpinzani, hata kabla ya mechi kuisha mpunga wako unaupata na mkeka unaitika
Ni mwendo wa formula ya mbili mbili tuuu, nambie piaa mdau unahisi ni vitu gani vingine vikiwa viwili ndio vinafanya kazi vizuri kwa pamojaaaa