Acha shobo na kazi zisizokuhusu nenda kalimeBado mntajirisha Muhindi.
Jamaa anawapiga sana.
Kama angekuwa anapata hasara angefunga makampuni ya kubeti.
Kizazi cha kamari.
Dah man u....nilimpa handicap ya magoli mawili Bilbao.....ILA UKIFIKA WAKATI WA KUANGALIA MATOKEO UNATAKA UANGALIZIWE.
kampuni sijawai litumiaHabar wapambanaji. Kwa wale wote wanaotumia 1xbet kubetia. Kwa siku hizi usithubutu kutoa pesa kwa njia ya mitandao ya simu maana wana tatizo. Mm nilitoa pesa toka tarehe 24/4/2025 mpaka leo pesa sijapata nimejaribu kuwasiliana nao kwa email but wapi kila siku wanasema ndani ya saa 24 lakini wapi hakuna kitu.
Hivyo wapambanaji wenzangu kuweni makini na kampuni hivi kwenye upande wa kutoa pesa kwa njia ya kutumia namba ya simu.
Mimi nilideposit toka februari wanapiga kalenda mpaka leo na namba za Katavi Gaming Ltd ambaye ndiye mtu kati kwenye malipo hawataki kutoa.Habar wapambanaji. Kwa wale wote wanaotumia 1xbet kubetia. Kwa siku hizi usithubutu kutoa pesa kwa njia ya mitandao ya simu maana wana tatizo. Mm nilitoa pesa toka tarehe 24/4/2025 mpaka leo pesa sijapata nimejaribu kuwasiliana nao kwa email but wapi kila siku wanasema ndani ya saa 24 lakini wapi hakuna kitu.
Hivyo wapambanaji wenzangu kuweni makini na kampuni hivi kwenye upande wa kutoa pesa kwa njia ya kutumia namba ya simu.
Mkuu na Leo tena
Tuchambue humu sio ....ngoja pambazuke
BET WONKushinda ni maamuzi yako na kushindwa ni maamuzi yako pia bookmakers hawausiki wasilaumiwe
View attachment 3322422
Je hiyo timu nayo inajiweza sio tubetie marehemu mwisho wa siku sare au inachezea kichapoPsg kashachukua ubingwa wa Ligi na jumanne ana mechi nzito na Arsenal! Kuna watu leo watampa ushindi wakati anacheza na timu kali Strasbourg! Psg leo anaenda kupigwa kama mtoto na mechi ya uhakika kwa leo ni hyo! Na hela za bure kabisa Odds 2.53 Za Strasbourg kushinda