njoo NBA Playoffs kuna helaMsimu huu muhindi kazitumia tim nying kututapeli msimu ujao akijirekebisha tutampiga sana
Alaf odds naziona zinakua bomba lakn huwa nazipuuzia sijui kwa ninnjoo NBA Playoffs kuna hela
football ngumu sana aiseeWengi uipuza basketball na ndo deal SIKUIZI sichezi MPIRA na nikicheza bball mara tatu kwa wiki lazima nishinde mfululozo au nifeli mara Moja.
Karibuni bball pia kwa mstakabuli wenu
Wengine hatuijui kabisaaa, unatushauri tubetije!?!?football ngumu sana aisee
basketball hata mara tano mfululizo nakula ila football sasa🙌
uku ukituliza kichwa hivi vipesa vya out ukosi wakati unaendelea kisakanpesa za malengo kwenye biashara yakofootball ngumu sana aisee
basketball hata mara tano mfululizo nakula ila football sasa🙌
BASKETBALL NI RAHISI KUJIFUNZA NA KUJUA OPTION MBALIMBALI SEMA LABDA TIMU ZA KWENDA NAZO NDO UNATAKIWA KUZIJUA PIA.Wengine hatuijui kabisaaa, unatushauri tubetije!?!?
Lakini tim za marekan hazna njaa sanaWewe koma, abaki huko huko
Hakunaga mchezo mrahisi kubet duniani.......... HAKUNAMsimu ujao muhind atatoa rushwa kwenye basketball