Kila muda nacheki kama umetupia codeSportybet
6T0ETS
Zote mbili Umeziona kwenye mkeka kampuni moja?Wawekezaji tuelewashane hapa
Total goal in EACH halves 1.5 (Yes or No)
Halafu kuna hii Total goals ni BOTH halves 1.5 (Yes or No)
Kimalkia kimenichaganya hapo
Siyo kampuni mojaZote mbili Umeziona kwenye mkeka kampuni moja?
Mi naona zinafanana tu
Basi zina maana moja tuSiyo kampuni moja
1 Jumla ya magoli iwe 1.5 kila kipindi na 2 Jumla ya Magoli iwe 1.5 vipindi vyote viwili. Nimeona nikuvushe hivyo aiseeWawekezaji tuelewashane hapa
Total goal in EACH halves 1.5 (Yes or No)
Halafu kuna hii Total goals ni BOTH halves 1.5 (Yes or No)
Kimalkia kimenichaganya hapj
Each.... kila kipindiWawekezaji tuelewashane hapa
Total goal in EACH halves 1.5 (Yes or No)
Halafu kuna hii Total goals ni BOTH halves 1.5 (Yes or No)
Kimalkia kimenichaganya hapo
Mkuu unawezaje kulinganisha Over/Under ya Basketball na football?wazee wa basketball mnatisha.
over/under ya basketball ina odds nyingi kuliko over 1.5 ya football. ukiijulia over/under ya basketball, mechi zako 2 tu una odds 2. kwenye football, kupata 2 odds mara nyingi ni mechi kuanzia 3.
Hata Pyramid pia hivyo hivyoRoma kmmmmmk
Kanichania Mkeka wangu wa odd 9 alibaki peke yakeRoma kmmmmmk
nimelinganisha odds tu (za basketball over/under na za football over 1.5).Mkuu unawezaje kulinganisha Over/Under ya Basketball na football?
Football wanafungana most of time wanafungana Single digit
Basketball wanafungana kuanzia Double to triple digits
Kwanza nikurekebishe kidogo.Wawekezaji tuelewashane hapa
Total goal in EACH halves 1.5 (Yes or No)
Halafu kuna hii Total goals ni BOTH halves 1.5 (Yes or No)
Kimalkia kimenichaganya hapo
Singular-half, plural-halves kuna kampun zinaandika hvyoKwanza nikurekebishe kidogo.
Kwa lugha ya betting ni Total goals in each half sio each halves.
Total goals in each half 1.5 (yes/no)
Kila kipindi lazima kiwe na magoli 2 au zaidi
Total goals in BOTH halves 1.5
Kila kipindi lazima kiwe na angalau goli 1.