Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Nimemaliza ligi hivi...View attachment 3337681
Hongera sana Fanya ata ka give away 😁 mwana mtano tu Mtoto wa nziLaki3 nimevuta kubutua na Wana ..kumbe mtandao wa Airtel umezimgua leo...
Mkuu ungeweka under sikuhizi Man city mguku kufunga Magoli, Mimi niliweka Under 2.5Leo ndio nimekubali rasmi betting ni ngumu
Dah yaani man city hata goli moja tu
Sare ndio ila isiwe nyau nyauMorning wapambanaji
Msaada ufafanuzi wa iyo option apo
Kaka ungenipigia simu ningekushauri uweke elfu 20 hapo dahLaki3 nimevuta kubutua na Wana ..kumbe mtandao wa Airtel umezimgua leo...
Mkeka kweli aliuweke humu..maana Jana nikitafuta mkeka sikupata wenye promising oddsKaka ungenipigia simu ningekushauri uweke elfu 20 hapo dah
Acha ujinga tapeli weweNITAPOST GAME SAA TISA NA GAME INAANZA SAA KUMI 👊 HAKIKISHA UNAWEKA MKEKA 🧑🏻💻🧑🏻💻🧑🏻💻
Referee WAMELIPWA tayar na wachezaji WAMELIPWA Tayar
Tunaangalia namna ya kuwapa ball boys na vibendera….
🙌🙌🙌HOLLAND IS A GREEN
Yani na kachapwa 2-0 hii game Sportpesa waliiweka jackpot Kuna watu wapo mbele ya muda aiseeFeyernood hata GG , aseeh
Ni bahati nasibu tu mkuuTwente akipata Goli , Natoa humu laki 2 kwa watu 10 , kila mtu apate 20,000.
Ikishawekwa huko , ujue matokeo yatakuja vice versaYani na kachapwa 2-0 hii game Sportpesa waliiweka jackpot Kuna watu wapo mbele ya muda aisee