Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikua nimepumzika kubet hadi ligi ziishe kabisa nianze msimu mpya.

Lakini naona 1xbet wamenipa Birthday promo&8 code ya maana kabisa

Natakiwa ni bet Single bet ya odd kuanzia 1.8 kisha nitoe mpunga wangu nikale bata πŸ˜‚
Any suggestions nitoke vipi?

HAPPY BORN DAY TO ME
 
nami birthday loading,,,

umepewa ngap?
 
Jitu is back! From elution!

Chagua wewe, upewe gawio la hela!? Ama gawio la Kodi...... elewa maana ya neno "Code" sawasawa?!
 

Attachments

  • Screenshot_20250520_100027_Chrome.jpg
    116.1 KB · Views: 28

1 MILLION WON πŸ”₯πŸ”₯βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

2.7 ODDS BOOOM πŸ†βœ…βœ…βœ…βœ…

Jisajili PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo Chini ‡️

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Tumia Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit Leo.
 
FaizaFoxy adriz vipi huu mkeka utatoa natafuta pesa ya supu ya kitimoto naombeni dua zenu ..😁😁😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20250520-224554_SportyBet.jpg
    129.3 KB · Views: 19
Hawa BETPAWA mbona hawaeleweki. Wamefuta bet zote nilizokuwa nimeweka. Kwenye OPEN hazipo na kwenye SETTLED hazipo pia.. Kuna mwingine amekutana na hii kitu?
Siyo kwako tu mkuu,hata kwangu imekuwa hivyo,tuwe watulivu najua watairejesha tu kama kawaida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…