Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

magroup yenye members wachache ni mazuri sana kwa ajili ya kuorodhesha mechi za kudiscuss.

group lako lina members wachache, lakini anacomment admin peke yake.
 

CONGRATULATIONS✅✅✅✅✅🔥🔥🔥🎾

1.1 MILLION BOOOOMMMM ✅✅✅✅✅💰💰💰

Jisajili Melbet Kwenye Link Hizo Hapo Chini. Promo Code Andika 👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya Mpaka 285000.

Jisajili Melbet Hapa👉 mlbt.cc/40coprj

mlbt.cc/40coprj

Promo Code Use 👉 TIPS2424
 
magroup yenye members wachache ni mazuri sana kwa ajili ya kuorodhesha mechi za kudiscuss.

group lako lina members wachache, lakini anacomment admin peke yake.
Group hilo halipo kwa ajili ya wengine kucoment. Katika group hilo, ipo team nje ya group, inayotengeneza mikeka ya odd 2 ya uhakika kushinda. Mikeka inapokuja, hatutaki demokrasia hiyo hivi hiyo vile. Ama kwa kuhitimisha, Group hilo ni kwa ajili ya kuchukua mkeka mmoja kila siku wa odd mbili. Siyo group la porojo na mijadala.
 
msifanye hivyo wazee!!. yaani tangu Man. City apigwe na Al Hilal hadi uzi mmeususa.
 
Kuna mkeka wa first half corners nili cash out mapema... Mechi moja tu ilizingua. Code niliitoa code hub.
 

Attachments

  • Screenshot_20250630-010537.png
    144.9 KB · Views: 26

Acha UTAPELI weeeeeeee

ODDS mbili za uhakika??

Mechi unacheza wewe

Narejea usiishi Mjini kwa usaniiii,wote humu vichwa vipo vizuri,Rudi huko FB

Haya sasa Kiko wapi Man City kachana mkeka huo uhakika upo wapi

Betting ni kama Kamari nyingine hakuna Assurance

Punguza njaaaa
 
🤣🤣🤣arudi fb huyo
 
ODDS za uhakika NDIO hizi?😂😂😂

Just post kisha tulia,sio kuvuta watu chamber kuwa TAPELI

Wenzio teleee walikuja humu wakasepa wenyewe
Nikutoe hofu ndugu yangu, mimi siyo 'tishio' la biashara yako. Mlengo wangu ni mwingine na kamwe sitakupunguzia chochote. Andiko lako limejaa hofu, uongo na uzandiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…