kulala tu bila kutandika mkeka..au sio?Leo naona option ni moja tu
Nilimaanisha ushindi tu kwa psgkulala tu bila kutandika mkeka..au sio?
Mzee hivi hiyo fan sport kuweka pesa makato yake ni kama kampuni za kibongo au Yako juuNilishakumbana na hii shida 1xbet, nikakumbana nayo paripesa, na jana imenikuta fansport
View attachment 3399480
Code👉 EZTMA
Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424
Jisajili PariPesa Hapa➡️ https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code👉 TIPS2424
Lakin hii ya 1UP inakupa nafasi mara mbili tofauti na second 1st goaloption ya 1UP (sportybet) ni sawa na team to score 1st goal.
team to score 1st goal ni bora kuliko 1UP kwasababu ina odds nyingi kuliko 1UP.
Mkuu jana ungeweka ata Billion ilikua furaha tuNilimaanisha ushindi tu kwa psg
View attachment 3399807
Dah ni kweli mkuu, nilitaka niweke laki ila nikakumbuka ile kauli ya bet what you can afford to loose!Mkuu jana ungeweka ata Billion ilikua furaha tu
Psg lazima alikua anashinda ile mechi halafu alipewa odd 2.41 hapa muhindi alijichanganya, Madrid wabovu na jana kocha wao kapanga beki mbovu. Yani jana kama kila mcheza kamali angeweka laki kwa PSG basi leo kampuni zingetikisika kiuchumi.Dah ni kweli mkuu, nilitaka niweke laki ila nikakumbuka ile kauli ya bet what you can afford to loose!
Swali kwako Madrid sawa wabovu wewe unaweza kutoa milion 5 tu ukampa psg mazima?Psg lazima alikua anashinda ile mechi halafu alipewa odd 2.41 hapa muhindi alijichanganya, Madrid wabovu na jana kocha wao kapanga beki mbovu. Yani jana kama kila mcheza kamali angeweka laki kwa PSG basi leo kampuni zingetikisika kiuchumi.
Obvious iko wazi mkuu PSG Ina teamwork Sanaa na ndicho kinachowapa ushindi ,ila Madrid ukubwa unawabeba ila kiuhalisia sio wa kumsimamisha madridSwali kwako Madrid sawa wabovu wewe unaweza kutoa milion 5 tu ukampa psg mazima?
Ndio maana nikasema Kila mtu alijua psg atashinda je wangapi walioweka mizigo ya maana kumuua Madrid mazima mfano hata 1m tu Kwa tanzania hiiObvious iko wazi mkuu PSG Ina teamwork Sanaa na ndicho kinachowapa ushindi ,ila Madrid ukubwa unawabeba ila kiuhalisia sio wa kumsimamisha madrid
Sidhani kama kuna mtu aliyejizima.data ,utajiri nje nje ngoja nijifue kusubiri ligi kubwa zianzeNdio maana nikasema Kila mtu alijua psg atashinda je wangapi walioweka mizigo ya maana kumuua Madrid mazima mfano hata 1m tu Kwa tanzania hii
Ndiyo na weza ukiangalia ubora wa beki za Madrid, yani ata ukiwa PSG afunge goli mbili inawezekana, tena jana Valverde kacheza namba 2 na yule beki 4 ndiyo kilaza kilaza na beki 3 bado siyo mzur ulinganisha beki 3 walipita Madrid, yani ata kama kungekua na mechi ya mshindi wa tatu Kati ya Madrid na Bayern we muuwe Madrid.Swali kwako Madrid sawa wabovu wewe unaweza kutoa milion 5 tu ukampa psg mazima?
Inategemea na uwezo wa mfuko wako. Kama una balance inayosoma 50M imekaa tu kwa benki kwanini usiweke 5M just for fun!Swali kwako Madrid sawa wabovu wewe unaweza kutoa milion 5 tu ukampa psg mazima?
Hicho kitu hakipo Kwa watu wanaobet tanzania hii tusidanganyaneInategemea na uwezo wa mfuko wako. Kama una balance inayosoma 50M imekaa tu kwa benki kwanini usiweke 5M just for fun!