ni kweli mkuu.Lakin hii ya 1UP inakupa nafasi mara mbili tofauti na second 1st goal
View attachment 3400335
MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA
Codeπ HNJVA
Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Codeπ TIPS2424 Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.
Jisajili PariPesa Hapaπ https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Codeπ TIPS2424
Jiunge Telegram πKayombo Tips β½π₯ππΎπ±π
Nimeweka 30000 nimekatwa 1000Mzee hivi hiyo fan sport kuweka pesa makato yake ni kama kampuni za kibongo au Yako juu
Duuh basi wanakata mara mbili maana sporty bet 30000 unakatwa 500Nimeweka 30000 nimekatwa 1000
mm ningeweka maana nilikuwa na mzigo meridian bet ila woga wangu tu.Swali kwako Madrid sawa wabovu wewe unaweza kutoa milion 5 tu ukampa psg mazima?
zamani watu mizigo waliwekaga kasino sikuizi tunachimbia na simu tunajilipua tu.Labda wewe ndo unaona maajabu.Hicho kitu hakipo Kwa watu wanaobet tanzania hii tusidanganyane
Weka mkeka wako hapa uliobeti ukamuua Madrid mazima hata wa milion 1 tuzamani watu mizigo waliwekaga kasino sikuizi tunachimbia na simu tunajilipua tu.Labda wewe ndo unaona maajabu.
Ndio hujaweka Sasa umesubiri baada ya game kuisha unaanza kusema ningeweka wakati hujaweka kustake high kumuua Madrid ni jambo gumu sana Kwa nyakati hizi ambazo haeleweki kama kibonde au sio kibondemm ningeweka maana nilikuwa na mzigo meridian bet ila woga wangu tu.
Play master ndo ninayoijuaIvi Option ya kuchagua matokeo dakika 15 za kwanza ipo kwenye kampuni gani na gani wakuu
Noma sana mkuuNilimaanisha ushindi tu kwa psg
View attachment 3399807