Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ni kweli mkuu.
1UP japo ina odds kidogo, lakini ina faida kuliko team to score 1st goal.
-1UP hata team uliyoipa ikitanguliwa kufungwa, halafu FT ikaongoza. match won.
-team to score 1st goal. timu uliyoipa ikitanguliwa tu, basi match lost.
Jana niliitumia ikanipa makes mazur. Muhindi mjanja kwenye Friends game hajaweka, aliweka 1UP kwenye mashinda ya Ulaya kufunzu Europe league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…