Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hatoboi...Tia 100,000/= mfuate PSG live utakuja kunishukuru
View attachment 3404928
Leo Khanji kasepa na Kijiji😀😃😆Hatoboi...
Hatari sana...Leo Khanji kasepa na Kijiji😀😃😆
Anakuna ndambi tu ....Wachambuzi wa mpira wamewadanganya sana watu kuwa Chelsea tutafungwa vibaya sana 😂
Nae Kanjibai akagongelea msumari Kwa kumpa Chelsea odds nyingi ili msimfate 😂
Muda huu Kanjibai anafurahia maokoto tuu 🔥
Kama umepita nayooo hii angaliaaa salio dk coaches zijazoooFT PSG
GAME
12&3+
ALL D BEST
MXB
Hivi inakuwaje mpaka unauziwa mkeka!?? Kwamba haujui kabisa kubet!?Aliyekuuzia mkeka kasema uhakika PSG win vipi simu yake iko hewani?🫵😀😀😀
Yaani sikutaka makuu nikampa PSG apate goli 1 tu.Leo kanji atakula pesa za Dunia nzima. PSG kawaaminisha wawekezaji katika vichapo alivyovitoa Kwa ma-giants Leo anaenda kudrow (sare). Amka mdau.
Duniani kuna watu wa aina mbili kuna wale kutumia akili hata kidogo huwa ngumu sana kila kitu hadi atafuniwe...Hivi inakuwaje mpaka unauziwa mkeka!?? Kwamba haujui kabisa kubet!?
Ni wa kuwasikitikia ....Duniani kuna watu wa aina mbili kuna wale kutumia akili hata kidogo huwa ngumu sana kila kitu hadi atafuniwe...
Ni wa kuwasikitikia ....
Sasa hivi kuna wadada wa saloon, sokoni, mama lishe na watu wengine wa aina hiyo ambao hawaufaham mpira, na wanahitaji kujaribu bahati.Hivi inakuwaje mpaka unauziwa mkeka!?? Kwamba haujui kabisa kubet!?
Dah kmmk Kanjibai hana huruma kabisa 😂
We jamaa unatufaa kwenye mikeka.Leo kanji atakula pesa za Dunia nzima. PSG kawaaminisha wawekezaji katika vichapo alivyovitoa Kwa ma-giants Leo anaenda kudrow (sare). Amka mdau.
Mashabiki wa Chelsea tumefurahi 😂Thina hamu