Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umeweka zako over 1.5 goals FT
Dakika ya 6 goli unajisemea hapa nimeula

Kinachoenda kutokea FT linaishia goli hilo moja hapo unaamini nguvu ya tunguli
Kuna timu ni mazafaka sana😥😥
 
Anko umeandika kwa hisia kubwa sana😂😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…