Hii ni kamari...Betting ni kazi kwa baadhi, ijapokuwa baadhi hujifariji kwa kusema "just for fun"
Ila kuna watu wanaishi na wanafanikiwa kwa betting na ndiyo ajira kwao, wameamua na wanaishi..
Kuna baadhi betting hii hii imekuwa ni mkosi na kusaga meno na wanajutia kwa nini waliifahamu betting maana imewaingiza kwenye maisha magumu kupindukia!!
Mimi na wewe tuko kwenye kundi lipi, wakujifariji "just for fun" au betting ajira au betting majuto?!
Tunaenda msimu mpya tafuta nafasi yako
Betting ni kazi kwa baadhi, ijapokuwa baadhi hujifariji kwa kusema "just for fun"
Ila kuna watu wanaishi na wanafanikiwa kwa betting na ndiyo ajira kwao, wameamua na wanaishi..
Kuna baadhi betting hii hii imekuwa ni mkosi na kusaga meno na wanajutia kwa nini waliifahamu betting maana imewaingiza kwenye maisha magumu kupindukia!!
Mimi na wewe tuko kwenye kundi lipi, wakujifariji "just for fun" au betting ajira au betting majuto?!
Tunaenda msimu mpya tafuta nafasi yako
Hapa tumekula mapema tu
Mkuu shukran hapa tumepiga mapema
Huyu pimbi kaondoka na elfu 10 yangu niliwapa over 2.5Silkeborg akipata Goli 3 pekeeyake au akazidisha atakuwa ametutoa kimasomaso wengi kweli
🙏🙏Mkuu shukran hapa tumepiga mapema